SETI YA VYOMBO VYA KISASA – UREMBO MEZANI POKO
Original price was: Sh 75,000.00.Sh 65,000.00Current price is: Sh 65,000.00.
Boresha meza yako ya kulia chakula kwa seti hii ya kifahari ya vyombo, Seti hii imeundwa kwa rangi nyeupe safi na michoro ya kipekee kwenye vikombe, ikileta mguso wa kisasa na wa thamani katika kila mlo wako.
Yaliyomo kwenye seti hii:
-
Sahani: Vipande 6.
-
Side plates: Vipande 6.
-
Bakuli: Vipande 6.
-
Vikombe: Vipande 6.
100 in stock





Reviews
There are no reviews yet.