Kuhusu Yusraashop

Karibu Yusraashop, kitovu chako cha kuaminika cha bidhaa bora za nyumbani, umeme, na afya nchini Tanzania. Tumejianzisha kwa lengo moja kuu: Kukuletea ubora usio na shaka.

Tunatambua kuwa wateja wetu wanathamini bidhaa original na zenye hadhi. Hivyo, kila bidhaa unayoiona kwenye duka letu imechaguliwa kwa uangalifu mkubwa ili kuhakikisha inakidhi viwango vya juu vya utendaji, uimara, na muonekano wa kisasa.

Dira Yetu

Kuwa duka namba moja nchini Tanzania linaloleta mapinduzi ya bidhaa bora za kiteknolojia na nyumbani kwa gharama nafuu.

Uaminifu

Tunauza bidhaa original pekee. Kwetu, jina la chapa (Brand) ni dhamana ya ubora tunayompa mteja wetu.

Huduma Yetu

Tunajivunia utoaji wa haraka na mawasiliano ya karibu na wateja wetu ili kuhakikisha kila hitaji linapata ufumbuzi sahihi.

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping