Terms & Condition

Terms & Condition

Karibu kwenye YusraShop. Tovuti hii inamilikiwa na kuendeshwa na YusraShop kama huduma kwako. Maahumuni ya tovuti hii ni kuruhusu watumiaji kuagiza bidhaa za kielektroniki, michezo ya video, vifaa vya nyumbani, na virutubisho vya afya.

Unapotumia tovuti hii, unakubali kuwa chini ya vigezo na masharti yafuatayo:

1. Masharti ya Jumla

YusraShop inahifadhi haki ya kubadilisha vigezo na masharti haya wakati wowote. Mabadiliko yataanza kufanya kazi kuanzia siku yatakapowekwa kwenye tovuti.

2. Akaunti ya Mtumiaji

2.1 Ili uwe mtumiaji aliyesajiliwa, lazima uwe na umri wa kuanzia miaka 18. 2.2 Una jukumu la kulinda usiri wa nywila (password) ya akaunti yako.

3. Mchakato wa Agizo (Order Process)

3.1 Unapofanya agizo, unakubali kulipa gharama kamili ya bidhaa. 3.2 YusraShop ina haki ya kukataa agizo kama bidhaa haipo au kuna hitilafu ya bei.

4. Malipo na Bei

4.1 Tunakubali malipo kupitia: M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Visa na MasterCard.

5. Usafirishaji (Delivery)

5.1 Dar es Salaam: Tunatoa huduma ya siku hiyo hiyo (Same-day delivery). 5.2 Mikoani: Bidhaa zitatumwa ndani ya saa 24-48.

6. Kurudisha na Kubadilisha Bidhaa (Return & Exchange)

6.1 Bidhaa inaweza kurudishwa ndani ya siku 14 ikiwa ina hitilafu ya kiwanda. 6.2 Bidhaa lazima iwe kwenye kifungashio vyake vya asili.

7. Dhamana (Warranty)

7.1 Bidhaa zote zina dhamana ya siku 15 kwa hitilafu yoyote ya haraka. Dhamana ya mwaka mmoja kwa vifaa vya kielektroniki.

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping