DINNER SET YA VIPANDE 16 – UREMBO WA KILA SIKU
Original price was: Sh 72,000.00.Sh 57,000.00Current price is: Sh 57,000.00.
Boresha meza yako ya kulia chakula kwa Dinner set hii ya vipande 16 iliyo rahisi na safi. seti hii imeundwa kwa muundo wa duara (Round) na rangi nyeupe inayopendeza, ikitoa mguso wa usafi na utaratibu katika kila mlo wako.
Sifa Muhimu:
-
Seti ya Vipande 16: Inajumuisha vyombo muhimu vinavyotosheleza mahitaji ya mlo wa familia yako.
-
Muundo: Muundo rahisi na wa kisasa unaoendana na mapambo yoyote ya nyumbani.
100 in stock





Reviews
There are no reviews yet.