SETI YA VYOMBO 54 PCS! 🥘✨
Original price was: Sh 360,000.00.Sh 330,000.00Current price is: Sh 330,000.00.
SETI YA VYOMBO VYA KUPIKIA 54 PCS – SETI KAMILI YA KITALAAMU
Unahitaji seti moja itakayokamilisha kila kitu jikoni? Pata seti hii ya kipekee ya vipande 54 kama inavyoonekana
-
Jumla ya Vipande 54: Kila kitu kuanzia sufuria kubwa za 38cm hadi vifaa vidogo vya jikoni.
-
Pressure Cooker: Inakuja na pressure cooker imara inayopika hadi kilo 2 za chakula kwa haraka.
-
Ubora wa Premium: Vyombo imara vya kitalaamu vinavyokupa matokeo bora kila siku.
57 in stock





Reviews
There are no reviews yet.