HIGH QUALITY KNIFE SET – CHAGUO BORA KWA JIKO LAKO
Original price was: Sh 57,000.00.Sh 48,000.00Current price is: Sh 48,000.00.
Boresha ufanisi wako jikoni kwa High quality knife set hii ya kisasa. seti hii inakuja na kisu za aina mbalimbali na mkasi, zote zikiwa zimepangwa kwenye stendi imara ya mbao kwa ajili ya usalama na mpangilio mzuri.
Sifa Muhimu:
-
Ubora wa Hali ya Juu: Seti hii imetengenezwa kwa vifaa imara vinavyohakikisha ukali na uimara wa muda mrefu.
-
Mpangilio Nadhifu: Inakuja na stendi ya mbao inayorahisisha uhifadhi wa visu na mkasi jikoni.
-
Ubunifu wa Kifahari: Inapatikana katika mitindo mitatu tofauti ya vishikio kama inavyoonekana kwenye picha, ikiongeza muonekano wa kisasa jikoni pako.
100 in stock





Reviews
There are no reviews yet.