Previous
Previous Product Image

HIGH QUALITY KNIFE SET – CHAGUO BORA KWA JIKO LAKO

Original price was: Sh 57,000.00.Current price is: Sh 48,000.00.
Next

HE-HOUSE ALL IN 1 FOOD PROCESSOR

Original price was: Sh 67,000.00.Current price is: Sh 55,000.00.
Next Product Image

HESTIA BLENDER & GRINDER (2 IN 1)

Original price was: Sh 68,000.00.Current price is: Sh 55,000.00.

Ongeza nakshi na urahisi katika maandalizi ya vyakula jikoni kwako kwa kutumia Hestia Blender & Grinder (2 in 1) ya kisasa. blender hizi zinakuja katika muundo wa kuvutia sana ukiwa na chaguzi za rangi za kupendeza kama pink na sky blue, zikileta muonekano mchangamfu na nadhifu kwenye kaunta ya jiko lako.

Sifa Muhimu:

  • Ujazo wa Jagi: Inakuja na jagi kubwa lenye uwezo wa lita 1.5, linalotosheleza mahitaji ya kawaida ya familia kwa ajili ya smoothies na juice.

  • Muundo wa 2 in 1: Seti hii inajumuisha jagi kubwa la juice pamoja na kikombe kidogo cha grinder kwa ajili ya kusagia viungo vikavu kama vile vitunguu, tangawizi au mbegu mbalimbali.

  • Urahisi wa Kusafisha: Muundo wake wa plastiki safi na ngumu unarahisisha uoshaji na utunzaji wa kila siku.

 

100 in stock

1 review for HESTIA BLENDER & GRINDER (2 IN 1)

  1. zimerov ertover

    I am no longer certain the place you’re getting your info, but great topic. I needs to spend a while learning much more or working out more. Thanks for great info I used to be in search of this information for my mission.

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping