HE-HOUSE ALL IN 1 FOOD PROCESSOR
Original price was: Sh 67,000.00.Sh 55,000.00Current price is: Sh 55,000.00.
Kurahisisha kazi za maandalizi ya chakula jikoni sasa imekuwa rahisi zaidi kifaa hiki chenye nguvu ya 700 Watts kimebuniwa kuchanganya kazi nyingi tofauti kwa wakati mmoja, kikikupa ufanisi mkubwa na kuokoa muda wako wa mapishi.
Sifa Muhimu:
-
Kazi Nyingi kwa Kifaa Kimoja (All in 1): Inakuja na mfumo wa Juicer kwa ajili ya kutengeneza juice safi, pamoja na Orange Squeezer maalum kwa ajili ya kukamua machungwa na limao kwa urahisi.
-
Salad Cutter ya Kisasa: Inajumuisha kikata mboga mboga na saladi kinachokuja na visu 5 tofauti vyenye size na shape mbalimbali ili kukupa vipande unavyovipenda (kama inavyoonekana kwenye alama za rangi kwenye picha).
-
Matumizi ya Umeme na Nguvu Thabiti: Inatumia umeme ikiwa na motor yenye nguvu ya 700 Watts inayomudu kazi zote kwa haraka.
-
Uimara wa Hali ya Juu (Strong & Durable): Imeundwa kwa nyenzo ngumu na imara zinazohakikisha kifaa hiki kinadumu kwa muda mrefu jikoni kwako.





Reviews
There are no reviews yet.