Pasi ya Kitalaamu (2200W)
Original price was: Sh 300,000.00.Sh 290,000.00Current price is: Sh 290,000.00.
WINNING STAR ST-6129: Pasi ya Kitalaamu (2200W) – Nyoosha Nguo Zako kwa Urahisi wa Kifalme! 👔✨
Umechoka na pasi zinazoganda kwenye nguo au kushindwa kuondoa makunyanzi makali? WINNING STAR ST-6129
ni stesheni ya kisasa ya kupiga pasi (Industrial Steam Iron Station) yenye nguvu ya 2200W, iliyoundwa mahususi kuleta matokeo ya dry cleaner ndani ya nyumba yako!
212 in stock





Reviews
There are no reviews yet.