Pasi ya Mvuke (Steam Iron) ya Kijanja
Original price was: Sh 50,000.00.Sh 35,000.00Current price is: Sh 35,000.00.
Pasi ya Mvuke (Steam Iron) ya Kijanja Nguo Laini na Nadhifu Popote Ulipo! 👗✨
Unataka kuondoa makunyanzi kwenye nguo zako kwa haraka na kwa urahisi? RAF R.1267W ni pasi ndogo ya mvuke (Mini Steam Iron)
inayokupa matokeo ya kitalaamu ndani ya dakika chache! Iwe uko nyumbani au unasafiri, kifaa hiki ni rafiki yako namba moja kwa ajili ya kuifanya nguo yako ionekane kama mpya.
RAF R.1267W
124 in stock






Reviews
There are no reviews yet.