DINNER SET YA VIPANDE 50 – UREMBO NA URAHISI MEZANI! 🍽️✨
Original price was: Sh 230,000.00.Sh 200,000.00Current price is: Sh 200,000.00.
Unatafuta seti ya vyombo itakayokamilisha kila kitu mezani pako? Pata Dinner Set (50 pcs) iliyotengenezwa India kwa ajili ya nyumba yako!
Seti hii inajumuisha:
-
6 Sahani kubwa, 6 ndogo, na 1 ya umbo la yai.
-
6 Bakuli za kati, 6 za supu, na 1 kubwa ya kusevia.
-
6 Vikombe vidogo, 6 vikubwa, 6 visosi, na 6 vijiko vya supu.
Usikubali kuwa wa kawaida—lete heshima na urembo wa hali ya juu mezani ukiwa na seti hii kutoka Yusraashop. Wasiliana nasi sasa kupata ofa yako!
100 in stock









Reviews
There are no reviews yet.