DINNER SET YA VIPANDE 50 – UREMBO NA URAHISI MEZANI! 🍽️✨
Original price was: Sh 230,000.00.Sh 200,000.00Current price is: Sh 200,000.00.
Unatafuta seti ya vyombo itakayokamilisha kila kitu mezani pako? Pata Dinner Set (50 pcs) iliyotengenezwa India kwa ajili ya nyumba yako!
Seti hii inajumuisha:
-
6 Sahani kubwa, 6 ndogo, na 1 ya umbo la yai.
-
6 Bakuli za kati, 6 za supu, na 1 kubwa ya kusevia.
-
6 Vikombe vidogo, 6 vikubwa, 6 visosi, na 6 vijiko vya supu.
Usikubali kuwa wa kawaida—lete heshima na urembo wa hali ya juu mezani ukiwa na seti hii
100 in stock









Reviews
There are no reviews yet.