DINING SET KAMILI (THAMANI YA JIKONI)
Original price was: Sh 95,000.00.Sh 85,000.00Current price is: Sh 85,000.00.
Boresha meza yako ya kulia kwa seti hii ya kisasa na ya kuvutia ya vyombo. Seti hii inatoa muonekano wa kifahari na mpangilio nadhifu, ikiwa inajumuisha vifaa vyote muhimu kwa ajili ya mlo kamili. seti hii ni chaguo bora kwa ajili ya matumizi ya kila siku au kupokea wageni.
Yaliyomo kwenye Seti hii (Jumla ya vipande 34):
-
Sahani: Vipande 6
-
Bakuli: Vipande 6
-
Vikombe: Vipande 6
-
Vijiko vya Chakula: Vipande 12
-
Cha kupalua samaki: Kipande 1
-
Opena: Kipande 1
-
Kisu cha matunda: Kipande 1
-
Chupa ya chai: Lita moja, kipande 1
100 in stock






Reviews
There are no reviews yet.