DISPENSER YA JUICE
Original price was: Sh 65,000.00.Sh 48,000.00Current price is: Sh 48,000.00.
Unaandaa hafla au unataka kuweka vinywaji vizuri nyumbani kwako? Jipatie dispenser hii maridadi ya juice yenye muundo safi na salama kwa afya yako!
BPA Free: Salama kabisa kwa matumizi ya familia na wageni.
Ina Vifaa Kamili: Inakuja na vikombe vyake vinavyopendeza vyenye muundo mmoja.
Utunzaji wa Ubaridi: Inafaa kwa ajili ya juice, maji ya matunda, au vinywaji baridi vya aina yoyote.
100 in stock





Reviews
There are no reviews yet.