MKEKA SET – SETI YA VYOMBO VYA KISASA (18 PCS)
Original price was: Sh 115,000.00.Sh 98,000.00Current price is: Sh 98,000.00.
Boresha meza yako ya kulia chakula kwa Mkeka set hii ya kipekee yenye vipande 18, inayochanganya umaridadi na muundo wa kisasa. seti hii imeundwa mahususi kwa ajili ya kutoa mguso wa kipekee na wa kifahari katika kila mlo wako.
Yaliyomo kwenye seti hii:
-
Sahani kubwa: Vipande 6.
-
Side plate: Vipande 6.
-
Bakuli: Vipande 6.
100 in stock







zimerov ertover –
It’s actually a great and useful piece of information. I’m glad that you shared this useful info with us. Please keep us informed like this. Thanks for sharing.