FULL SET – SETI KAMILI YA KUSEVIA CHAKULA
Original price was: Sh 128,000.00.Sh 115,000.00Current price is: Sh 115,000.00.
Boresha meza yako ya kulia chakula kwa FULL SET hii ya kipekee. seti hii inakupa muonekano nadhifu na wa kisasa ukiwa na kila kitu unachohitaji kwa ajili ya mlo kamili.
Yaliyomo kwenye seti hii:
-
Sahani kubwa: Vipande 6.
-
Sahani ndogo: Vipande 6.
-
Bakuli: Vipande 6.
-
Saving (Vyombo vya kusevia): Vipande 3.
100 in stock





Reviews
There are no reviews yet.