Mashine ya Popcorn ya Kijanja
Original price was: Sh 145,000.00.Sh 125,000.00Current price is: Sh 125,000.00.
Mashine ya Popcorn ya Kijanja – Burudani ya Cinema Ndani ya Nyumba Yako! 🍿🎬
Unatamani popcorn za moto, crispy, na zenye ladha halisi kama za ukumbini? WINNING STAR ST-9716 ni mashine ya kisasa ya kuandaa popcorn kwa kutumia hewa moto (Hot Air Popcorn Maker). Hakuna mafuta, hakuna moshi—ni nafaka safi tu zinazopasuka kuwa popcorn nyepesi na zenye afya kwa sekunde chache!
WINNING STAR ST-9716
111 in stock





Reviews
There are no reviews yet.