Electric garment hand held steam iron
Original price was: Sh 144,000.00.Sh 124,000.00Current price is: Sh 124,000.00.
Pasi ya Mvuke ya Kushika (Handheld Garment Steamer)
Sahau adha ya kutumia ubao wa pasi! Sonifer SF-9090 ni pasi ya kisasa ya mvuke inayokusaidia kunyoosha nguo zako zikiwa zimetundikwa, ikiondoa mikunjo kwa haraka na kuziacha nguo zikiwa na muonekano mpya na safi.
100 in stock





Reviews
There are no reviews yet.