Previous
Previous Product Image

AMIGO-MAXIMA BLENDER & GRINDER (2 IN 1)

Original price was: Sh 75,000.00.Current price is: Sh 63,000.00.
Next

AILYONS 3 IN 1 BLENDER & GRINDER

Original price was: Sh 73,000.00.Current price is: Sh 66,000.00.
Next Product Image

AILYONS 2 IN 1 BLENDER & GRINDER

Original price was: Sh 72,000.00.Current price is: Sh 65,000.00.

Boresha maandalizi yako ya jikoni kwa kutumia AILYONS Blender & Grinder (2 in 1) ya kisasa. kifaa hiki kimebuniwa kwa muundo maridadi wa rangi nyeusi na nyeupe, kikikupa uwezo mkubwa wa kusaga na kurahisisha kazi zako zote za kila siku.

Sifa Muhimu:

  • Muundo wa 2 in 1: Inajumuisha jagi kubwa la kusagia juice na smoothies (Blender) pamoja na kikombe maalum cha kusaga viungo vikavu kama vile vile iliki, mdalasini, karanga au kahawa (Grinder).

  • Injini yenye Nguvu (Powerful Motor): Inakuja na mfumo imara wa kusaga kwa haraka ili kuhakikisha unapata mchanganyiko laini kabisa bila kupoteza virutubisho (Enjoy every drop of nutrient).

  • Udhibiti wa Kasi: Ina viwango vinne tofauti vya kasi (1, 2, 3, 4) pamoja na kitufe cha Pulse (P) kwa ajili ya usahihi zaidi wakati wa kusaga.

  • Dhamana ya Mwaka 1 (1 Year Warranty): Bidhaa hii inakuja na uhakika wa usalama na ubora ukiwa na warranty ya mwaka mmoja mzima.

100 in stock
Category:

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “AILYONS 2 IN 1 BLENDER & GRINDER”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping