Waist massager
Original price was: Sh 175,000.00.Sh 150,000.00Current price is: Sh 150,000.00.
Msaidizi Wako wa Kijanja wa Kupunguza Maumivu ya Mgongo! 💆♂️🔥
Umechoka na maumivu ya mgongo baada ya kukaa muda mrefu ofisini au kazini? WINNING STAR ST-6416 ndio mbadala wako wa kisasa wa kukupa faraja. Hii ni kifaa cha kisasa cha kukanda mgongo (Lumbar Massager) kinachochanganya nguvu ya kukanda na tiba ya mwanga mwekundu (Red-light heat therapy) ili kuondoa msongo wa misuli na kukupa utulivu wa haraka.
WINNING STAR ST-6416
112 in stock



Reviews
There are no reviews yet.