TOUGHENED GLASS ELECTRONIC SCALE (180KG/50G) – PIMA UZITO WAKO KWA USAHIHI NA USALAMA! ⚖️✨
Original price was: Sh 52,000.00.Sh 39,000.00Current price is: Sh 39,000.00.
Fuatilia safari yako ya afya ukiwa nyumbani kwa kutumia mizani imara ya FF1976-A16883 Electronic Body Scale iliyotengenezwa kwa kioo kigumu (toughened glass)!
-
Uwezo Mkubwa na Usahihi: Inapima hadi 180kg kwa usahihi wa kiwango cha 50G.
-
Kioo Kigumu na Imara: Imetengenezwa kwa vioo vya uwezo wa juu kwa ajili ya usalama wakati wa kusimama.
-
Skrini ya LCD: Inasaidia kusoma uzito wako kwa urahisi na kwa uazi.
100 in stock






Reviews
There are no reviews yet.