Mashine ya Kisasa ya Kusafisha na Kuosha Sakafu
Sh 620,000.00 Original price was: Sh 620,000.00.Sh 580,000.00Current price is: Sh 580,000.00.
- -6%
Store
WINNING STAR
3.53 (27 Reviews)
(Wet, Dry & Steam Vacuum Washer)
Sahau adha ya kudeki na kufagia kwa kutumia vifaa vingi! Winning Star ST-5046 ni suluhisho la kisasa linalofanya kazi tatu kwa mpigo: inafagia takataka kavu, inafuta uchafu wa maji/maji maji, na kupiga deki kwa nguvu ya mvuke (Steam) huku ikikausha sakafu yako papo hapo. Ni kifaa kamili kwa ajili ya usafi wa haraka na wa kiwango cha juu nyumbani kwako.
Sh 230,000.00 Original price was: Sh 230,000.00.Sh 200,000.00Current price is: Sh 200,000.00.
Sh 300,000.00 Original price was: Sh 300,000.00.Sh 280,000.00Current price is: Sh 280,000.00.
Sh 400,000.00 Original price was: Sh 400,000.00.Sh 370,000.00Current price is: Sh 370,000.00.
Sh 365,000.00 Original price was: Sh 365,000.00.Sh 335,000.00Current price is: Sh 335,000.00.




