KENWOOD BLENDER (2.5L 2in1)
Original price was: Sh 110,000.00.Sh 87,500.00Current price is: Sh 87,500.00.
Boresha uwezo wako wa mapishi kwa KENWOOD Blender hii yenye uwezo wa lita 2.5, Hii ni blender ya kisasa na ya kipekee (2in1) inayotoa huduma bora ya kusaga na kuchanganya vyakula kwa urahisi na haraka.
-
Uwezo Mkubwa: Jagi lenye ujazo wa lita 2.5 linakupa nafasi ya kutosha kwa milo mingi.
-
Muundo wa 2in1: Inakuja na vifaa vya ziada vinavyokupa urahisi zaidi katika shughuli zako za jikoni.
-
Ubora wa Kimataifa: Imebuniwa kwa viwango vya juu vya Great British Design ili kuhakikisha kusaga kwa haraka na kwa umakini (fast and finer blending).
100 in stock





Reviews
There are no reviews yet.