Jagi la Maji la Kioo (Glass Kettle)
Original price was: Sh 45,000.00.Sh 33,000.00Current price is: Sh 33,000.00.
Jagi la Maji la Kioo (Glass Kettle) Usafi, Urembo, na Nguvu Jikoni Kwako! 💧✨
Unatafuta jagi litakalokupa maji ya moto haraka huku likiwa linapendezesha jikoni kwako? RAF R.7833 ndilo chaguo lako! Jagi hili la kisasa la kioo la lita 2.0 linachanganya teknolojia ya kisasa na muonekano maridadi unaokupa burudani ya macho kila unapo chemsha maji.
RAF R.7833
124 in stock





Reviews
There are no reviews yet.