GWELL GL-F273 LED FAN LIGHT – MWANGA NA UBEPO WA KISASA CHUMBANI KWAKO! 💡🌀✨
Original price was: Sh 70,000.00.Sh 65,000.00Current price is: Sh 65,000.00.
Boresha muonekano na hali ya hewa ya chumba chako ukitumia GWELL GL-F273 LED Fan Light inayochanganya taa kali na feni ya kisasa yenye rimoti!
-
2 in 1 (Taa na Feni): Inatoa mwangaza mzuri wenye modi 3 na upepo mtamu wa asili.
-
Ultra-Quiet: Inafanya kazi kwa utulivu mkubwa bila kusababisha kelele.
-
Rimoti Maalum: Rahisi kudhibiti kila kitu ukiwa mbali.
100 in stock



Reviews
There are no reviews yet.