Electric Sandwich Maker & Hamburger Press Machine
Original price was: Sh 72,000.00.Sh 52,000.00Current price is: Sh 52,000.00.
Mashine ya Kisasa ya Sandwich na Kubana HamburgerÂ
Pandisha kiwango cha uandaaji wa vyakula vya haraka na vya kijanja (Fast Foods) jikoni au kwenye biashara yako kwa kutumia WINNING STAR ST-9451. Hii ni mashine maalum ya umeme yenye kazi mbili kwa mpigo: inafanya kazi kama kibaniko cha sandwich (Sandwich Maker) na mashine thabiti ya kukandia na kubana nyama za burger (Hamburger Press). Ni kifaa muafaka kabisa kwa ajili ya kuandaa kiamsha kinywa cha haraka cha familia, vitafunwa vya watoto, au matumizi ya kibiashara kwenye migahawa na vibanda vya chakula nchini Tanzania.
WINNING STAR ST-9451
392 in stock





Reviews
There are no reviews yet.