730W Electric Thermos & Airpot with Automatic Boiling
Original price was: Sh 160,000.00.Sh 140,000.00Current price is: Sh 140,000.00.
WINNING STAR ST-6026: Termos ya Kisasa ya UmemeÂ
Sahau adha ya kuchemsha maji kwenye birika na kuyamimina kwenye termos za kawaida! WINNING STAR ST-6026 ni termos ya kisasa na ya kiakili ya umeme (Electric Thermos) inayofanya kazi zote mbili kwa mpigo: inachemsha maji kwa kutumia 730W na kuyatunza katika joto lilelile la moto masaa 24 kulingana na mahitaji yako. Ni kifaa muafaka kabisa kwa ajili ya sebule ya familia, maofisini, madaktari kliniki, au maduka ya vinywaji.
245 in stock





Reviews
There are no reviews yet.