1600W Dry-Wet Vacuum Cleaner
Original price was: Sh 300,000.00.Sh 280,000.00Current price is: Sh 280,000.00.
[INSERT_ELEMENTOR id=”7546″]
Mashine ya Kisasa ya Usafi wa Kavu na MajiÂ
Fanya usafi wa mazingira yako uwe rahisi na wa uhakika kwa kutumia ST-5034. Hii ni mashine ya kisasa ya kufanyia usafi yenye nguvu kubwa ya 1600W, inayoweza kuvuta vumbi kavu na kufuta maji au uchafu mloevu (Dry & Wet). Ni kifaa bora kwa ajili ya nyumba kubwa, ofisi, kumbi, na hata saluni za kuoshea magari (car wash).
521 in stock





Reviews
There are no reviews yet.